Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

that is ombrophobia...

lakini hizi ni shida za wazungu, sisi watu wa bara giza tunakuwaje na hizi fears!
Jamani
Mimi huwa nina tatizo moja, muoga sana mvua!!

Yaaaniii ikinyesha sipo nyumbani huwa nalia, naogopa sanaa!! Leo kilichotokea Mungu anajua!!

Hili la kuogopa mvua sijui linaishaje jamani!! Mniombee mimi
 
.
tapatalk_1572119955023.jpeg
 
Inasababishwa na past experiences, maybe ushawahi ona radi ikiharibu mahali, ama mafuriko au hata ile misauti ya radi inayoogopesha...

Wenyewe wazungu wanakwambia ni moja ya phobia, so inakuwa treated na psychotherapies au madawa yale ya anti-anxiety...

Ila kwetu Afrika hizi mambo za kutreatiana hivi hakuna...however, next time when it rains na inakupata we upo outdoors, just call yo , he'll be there for you
Hata sijui huwa nini huhappen akii, huwa najipataga tuu nalia! Tena bora iwe mchana ikikuwa time ya jioni daaaahhh!! Don't want think about it!!
 
Inasababishwa na past experiences, maybe ushawahi ona radi ikiharibu mahali, ama mafuriko au hata ile misauti ya radi inayoogopesha...

Wenyewe wazungu wanakwambia ni moja ya phobia, so inakuwa treated na psychotherapies au madawa yale ya anti-anxiety...

Ila kwetu Afrika hizi mambo za kutreatiana hivi hakuna...however, next time when it rains na inakupata we upo outdoors, just call yo , he'll be there for you
Mmmhhh
Thanks my
 
Back
Top Bottom