Hilo dongo ni la kwangu na nimelipokea
Haha sio kweli bana, hiyo ni copy & paste...we hata mkono wako sijawai kuuonaHilo dongo ni la kwangu na nimelipokea
Hivi 82 unaijua vizuriau ni 8-2=6 tunarudi pale pale 96
![]()
where're em steak, fruits or greens...?
Swali zuri. Kati ya vitu huwa tunasahau kuwapa watoto ni mboga za majani na matunda.
Hebu mtafutie vitu vitamu vitamu...
Tuje kumlisha
Haha sio kweli bana, hiyo ni copy & paste...we hata mkono wako sijawai kuuona
Wa kwanza.
Kwanza nimefurahia vile hujasahau ๐๐Oohh fanya mpango mapema sasa eti
Huwa hatuwajulii tu ndio maana huwa tunasema hawapendi kula.Na vyawapa appetite pia, jamaa pengine asingepata wakati mgumu kwa bintiye kula
Anataka kutembelea fursa ๐๐๐๐Ndiyo mwezi uliozaliwa??


Daah ila nyie tuache masihara hivi ina maana humu JF hakuna kiumbe aliyezaliwa kuanzia 98 kuenda chini??
Wewe hapo.Daah ila nyie tuache masihara hivi ina maana humu JF hakuna kiumbe aliyezaliwa kuanzia 98 kuenda chini??