sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
La kuchumpa la kuparama.View attachment 1266927

tuache utani kweli umenizidi hiyo miaka??
We hangaika tu ila kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake.



looh
anaishi mpaka wa TZ na DRC, muda huu wanatakiwa wazime taa wasijetekwa na waasi
![]()
Sawa madam haibaLa kuchumpa la kuparama.View attachment 1266927
Unatii agizo la mshanaUsiku mwema.
Bado mdogo saana.Weeee me wa 92![]()
Natamani kuuliza swali.She can always smell when I'm about to 'disappear'. Unless I make her sleep in the next hour, I'm grounded tonight.
View attachment 1266949
Hahhahahha na hivi asili yangu ni MbeyaNatamani kuuliza swali.
Heaven Sent njoo unisaidie kuuliza.
Nipunguzie nyama tafadhaliLa kuchumpa la kuparama.View attachment 1266927
She can always smell when I'm about to 'disappear'. Unless I make her sleep in the next hour, I'm grounded tonight.
View attachment 1266949
Hapo maana yake ni 27÷27×23(6-8)×0Mbona huwa namwamkia mara nyingi tu?? Haujawahi kuona sehemu nimemuambia "za saa hizi"??
Sema dada yenu muongo sana eti katoka kusema kule juu kuwa kanipita miaka 27,, muambieni I don't buy that..
Nakusalimu piaNawasalimu kwa jina la TBT...long time agoView attachment 1266955