Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,223
Haha eti tusi....ni hapo palipo na mkandaHahahaahh
Kama ni tusi mwenyewe, Muone kwanza
Haha eti tusi....ni hapo palipo na mkandaHahahaahh
Kama ni tusi mwenyewe, Muone kwanza
Haha uwezo huo hawana

unatafuna mirungi siyo??
Ooohhh kumbe hapoHaha eti tusi....ni hapo palipo na mkanda
Acha kujimwambafy.Yesu wangu,, hivi Saint anne uko wapi lakini uje unitetee yaani mwenzio nadharaulika hivi na wewe unaniangalia tu??
Deal.Em njoo labda utanitia moyo; maana moyo wangu kwenye hiyo style nimeukopesha
Pls do the needful
Nione basi nywele tu...natamani nikaweke za sikukuuu![]()
Tar ngapi? Ila MU mnakuwaga wa mwisho mwisho nyie hadi raha
Kwamba unamaanisha 98..99..2000?Daah ila nyie tuache masihara hivi ina maana humu JF hakuna kiumbe aliyezaliwa kuanzia 98 kuenda chini??
Mekuhamu piaUlimisika wifi ake



hata hii comment tu ni uthibitisho tosha kuwa umetoka kutafuna tayari
Hapana...jeiefu ni dunia inajitegea na ina viumbe wake wanaitwa "wakuu"...ilianza 2006![]()
Doh! Mpaka dec tena hao nao vipi!!Yaani sina hata hamu wanatucheleweshaga hadi siyo vizuri,, main campus yao tarehe 22 kule kwetu tarehe 29 huwa zinapishana wiki moja kila mwaka..
Ila hata mie nilijua sie ndiyo wa mwisho kumbe siyo kuna mtu juzi kaniambia eti hata MUST yao bado hadi tarehe 14 december,, we kwani kuwa wa mwisho ni raha??

hapana acha tu niongee ukweli,, mimi imeniuma mno..
Acha kujimwambafy.
Pole kipenziMekuhamu pia
Majukumu yanazidi umri
Jamani
Mimi huwa nina tatizo moja, muoga sana mvua!!
Yaaaniii ikinyesha sipo nyumbani huwa nalia, naogopa sanaa!! Leo kilichotokea Mungu anajua!!
Hili la kuogopa mvua sijui linaishaje jamani!! Mniombee mimi
Kwamba unamaanisha 98..99..2000?
Kama we wa 97 upo basi na wao watakuwepo![]()



sasa sisi tunakuwaga wa mwisho kwenye kila kitu siyo UE siyo graduation yaani ni shida tupu
Doh! Mpaka dec tena hao nao vipi!!
Kuwa wa mwisho raha...ushazungukia za wenzio afu unamalizia kwako. Mwisho graduation lakini huko kwingine mwisho unakuwaga sio mzuri