Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Aimennn...Huwa nakuombea sana dada yangu mzuri mzuri,, usijali utapona tu..
Usiku mwema dear!!! Mimi nalala sasa jamani
Aimennn...Huwa nakuombea sana dada yangu mzuri mzuri,, usijali utapona tu..
Hongera sana my dear kwa kutimiza wajibu!!Namshukur Mungu mamito nakimbizana na majukumu kibabe,nambie
Mwenyewe sijawahi jua...Serious?! Sasa kwanini ulie?
Usiku mwemawelcome to planet JF, year MMXIX

Zikifika unikaribishe.
Aimennn...
Usiku mwema dear!!! Mimi nalala sasa jamani
I'll be around here lovelyUsiku mwema
Hope kesho nitachungulia huku, if not take care of yourself!

I can see the princess face very clearly you know.Bless her man.She can always smell when I'm about to 'disappear'. Unless I make her sleep in the next hour, I'm grounded tonight.
View attachment 1266949
Weka hata kile kipara.Ngoja niweke moja
Leo nimesuka tano kichwaWeka hata kile kipara.
Tano kichwa?Leo nimesuka tano kichwa
Yes tano kichwaTano kichwa?
Daah naomba
Daah naomba
CutelavuNawasalimu kwa jina la TBT...long time agoView attachment 1266955