Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Daah sijaiona mimi
Karibu
Karibu
Usiku mwema [emoji1780]
Hope kesho nitachungulia huku, if not take care of yourself!
Acha uchawiKama hamtaki kuamka nawawekea majoka yaje yawatishe ndotoniView attachment 1267166
Kama hamtaki kuamka nawawekea majoka yaje yawatishe ndotoniView attachment 1267166
Nini hiki.....
Yani...Jamaa ashaanza ndumba, selfie zimemshinda
Za kugoogle hizo Mkuu
Yani...
Anaganga ili uzi usogeeee. Leo tutaona picha za walembo wengi saana baada ya huu uganga wa mshana
Bado hujaweka mkuuNgoja niweke moja
[emoji3][emoji3][emoji3] Pole sanaMwenyewe sijawahi jua...
Tho nakumbuka kipindi wadogo tunachunga kuna mwenzetu alienda na mafuriko hatujawahi muona mpaka kesho jamani!! Since then mvua ikinyesha sipo nyumbani huwa nalia yaaani nalia haswaaa