[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nicheke tu
Kwanza nimefurahia vile hujasahau [emoji7][emoji7]
Mpango tufanye dec mwishoni au Jan mwanzoni?
Haha uwezo huo hawana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]si nasikia kuna mabingwa wa kutoa emoji kwa picha,, ndiyo wafanye mafrekechee hapo wasituchoshe sie tumeshatuma picha kazi kwao..
Anataka kutembelea fursa [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Tar ngapi? Ila MU mnakuwaga wa mwisho mwisho nyie hadi rahaJanuary tu dada,, halafu vipi sasa graduu unakuja au??
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mie nimemshitukia
miaka hiyo hakukuwana viumbe duniani [emoji125][emoji125][emoji125]
Jamani hadi nimecheka...me mwenyewe changu kirefu kama panga, ila jaribu kunyoa afro nina uhakika itakutoa
View attachment 1266959
Kusuka kila mtu atasuka ila sio kunyoa [emoji12][emoji12]
Khaaaah!! Hili liemoji ndio kutukomoa?
Ndio.
Mapinduzi day.
HahahaahhDada mzuri [emoji7][emoji7][emoji7] naona kiflat tummy
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nina low cut ya rough dreads for years; ukiniona nataradadi utasema kichwa kama cha atoto. Hiyo style yenu nahisi itanichoresha chogo sana
Mdomo unapingana na nafsi.Mmhh,, hivi kwanza sijui hata kwanini naendelea kukusikiliza wakati nilishasema sikuamini..
Pls do the needful 😘Nina low cut ya rough dreads for years; ukiniona nataradadi utasema kichwa kama cha atoto. Hiyo style yenu nahisi itanichoresha chogo sana
😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha uoga, nakuja next month kukupeleka ukanyoe.
Wewe hapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha uoga, nakuja next month kukupeleka ukanyoe.