ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,716
- 127,649
Sijambo Sophy, Jumaa Kareem. Aisee mvua inaanguka sio poa!Hujambo
Sijambo Sophy, Jumaa Kareem. Aisee mvua inaanguka sio poa!Hujambo
Kuna dawa za mahindi, ukienda kwenye duka la pembejeo watakupa
Ni mengi kiasi gani, mimi nahifadhi(ya kula na familia) kwenye drums, nahakikisha hakuna hewa inayoingia nafunga na mfuniko hata mwaka hayaguswi na mdudu, sitii dawa yoyote.
Ooh sawaKuna dawa za mahindi, ukienda kwenye duka la pembejeo watakupa
Pia kuna mifuko Fulani hivi, yenyewe haina haja ya kuweka dawa mahindi.
Unayahifadhi hivyohivyo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hata hukuSijambo Sophy, Jumaa Kareem. Aisee mvua inaanguka sio poa!
Kuanzia gunia 5 na kuendeleaNi mengi kiasi gani, mimi nahifadhi(ya kula na familia) kwenye drums, nahakikisha hakuna hewa inayoingia nafunga na mfuniko hata mwaka hayaguswi na mdudu, sitii dawa yoyote.
Kwetu zaman vijijin/swekeni Kuna namna/njia za asili naona Wazee walikuwa wanahifadhi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Master engeneer ME,central engeener CE,physical engeneer PE,English engeener EE [emoji23][emoji23][emoji23]uje tu unichambe
AririiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiihAah eeh! Nikuite nani?
Majina yote nishamaliza [emoji445]
Aah eeh! Wangu wa ubani
Umeweza kunituliza[emoji443][emoji445]
Aah eeh! Mambo ya chumbani
Yaani nalala huku napulizwa
Aah eeh! Penzi zito tani
Napewa raha kupitiliza[emoji445][emoji445][emoji1739][emoji1739]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo lazima siku zake za period zilikuwa zimekaribia. Siku moja, mbili na hata tatu mbele na pengine alikutana na mjulubeng wa kueleweka...huwa inatokea sana hii bao la kwanza tu mtu bado unatafuta rhythm unakuja kushtuka damu hizi hapa...Halafu utasikia oooh nilikuwa najua period itaanza keshokutwa...I am sorry na bla bla zingine [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Tenaa ungepigwa 2 in 1,[emoji23][emoji23][emoji23] malaika walikuwa nyumayangu kumbe ndo walivo alafu nilikuwa nimenenepa alafu nilipendeza ilesiku looh [emoji23]
Hatareeeeeeh sanaaaa.[emoji3]Mjulubenga huo had kuikorokocha[emoji3]damu ije haraka si mchezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mke mwenzaaa unakwamaaa wapiiii???Umekuwa mbosso coca kakushika pabaya aje anifundishe na mm bas [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] nawee piaaa.Good morning [emoji560][emoji559] Tinsley Lovelovie Antonnia cocastic Ms cee Lizzy Lenie myoyambendi National Anthem Carrasco putin Mjep raraa reree Wigelekelo Grahams ! Mvua huku chalinze zinabonda hatarii, amkenii kumekucha. Tukalijenge taifa!
Huku kwetu tunahifadhi kwenye kihenge mahindi yakishavunwa.,ili yakauke vizuri.Kwetu zaman vijijin/swekeni Kuna namna/njia za asili naona Wazee walikuwa wanahifadhi!
Kwanza huwa wanaangalia mwezi,,, hapa nadhan wanazingatia mwez ukitoka tu ndo tar nzuri,,,,
Mahindi yanawekwa kwenye Yale magunia flani ya katani,,,, yanashonwa vyema alafu yanawekwa sehem ya juu,,, mfano kwenye sakafu, kichanja, ama unaweza kupanga mawe, au mbao,,, wakishaweka Kuna vimajani flan wanachukua wanachoma hayo magunia kwa nje,,,Kama kisindano flani !
Hata miaka 10 mdudu hawezi kusogelea !!!!
Back in days [emoji2][emoji1][emoji2][emoji1][emoji1]