kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,176
- 15,880
Yeah Ni kweli,,, hii mifuko inasaidia Sana kwa Sasa ! Kwetu pia zaman vihenge vilikuwa vinatumikaHuku kwetu tunahifadhi kwenye kihenge mahindi yakishavunwa.,ili yakauke vizuri.
Wakati yanasubiri hatuna za kupukuchua ndio yanakaa kwenye vihenge
Tukishaoukuchua sasa ndio dawa inapigwa kwa ajili ya kuweka kwenye mifuko.
Hii mifuko ya kisasa imerahisisha mambo,hatupigi Tena dawa mahindi.


