Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,994
- 48,498
Sio ghala kipenz natka Kwa kutumia marobaUnahifadhia wapi? Kwa ghala au mifuko ya marobaa??
Sio ghala kipenz natka Kwa kutumia marobaUnahifadhia wapi? Kwa ghala au mifuko ya marobaa??
Yan mm hapana aisee umeniacha mbali mno unifundishe Sasa mkemwenzawee mke mwenzaaa unakwamaaa wapiiii???
Hii ni noma ila ya kuweka juu nishawahi ona mahali wametumia kuhifadhia mpungaKwetu zaman vijijin/swekeni Kuna namna/njia za asili naona Wazee walikuwa wanahifadhi!
Kwanza huwa wanaangalia mwezi,,, hapa nadhan wanazingatia mwez ukitoka tu ndo tar nzuri,,,,
Mahindi yanawekwa kwenye Yale magunia flani ya katani,,,, yanashonwa vyema alafu yanawekwa sehem ya juu,,, mfano kwenye sakafu, kichanja, ama unaweza kupanga mawe, au mbao,,, wakishaweka Kuna vimajani flan wanachukua wanachoma hayo magunia kwa nje,,,Kama kisindano flani !
Hata miaka 10 mdudu hawezi kusogelea !!!!
Back in days![]()
Hata mahindi pia ika kama ni mengi pia inahitaji eneo kubwa!Hii ni noma ila ya kuweka juu nishawahi ona mahali wametumia kuhifadhia mpunga
Wa mjini hawawezi kuelewa !Hii ni noma ila ya kuweka juu nishawahi ona mahali wametumia kuhifadhia mpunga
Naomba unibless selfii yako kiongozi!Huko kunfinda vipi kiongozi😂
Sure, hawaezi elewa !Waliokulia mjini watakuwa wanajiuliza kihenge ni Nini![]()
Kweli juu ya sakafu nayo pia ni sawa?Hata mahindi pia ika kama ni mengi pia inahitaji eneo kubwa!
Kiongozi kaa hapa hadi nitoke mzigoni utaona mzigo ...usiku ulilala sana nilitupia kibao cc Jack PalladinoNaomba unibless selfii yako kiongozi!
Hadi utoke kazini kote huko??????Kiongozi kaa hapa hadi nitoke mzigoni utaona mzigo ...usiku ulilala sana nilitupia kibao cc Jack Palladino
Piga dawa, au nunua ile mifuko Iliyo na dawa kabisaaa.Sio ghala kipenz natka Kwa kutumia maroba
Ilimradi tu yasipate unyevu na yasifikiwe na wadudu waharibifu!Kweli juu ya sakafu nayo pia ni sawa?
Mwezi wa 6 wa kuvuna ukifika tutawaambia kwa vitendo😅😅
yaani mtuambie basi
vyema kipenziMie niko vyediiiii.![]()
okay dearMwezi wa 6 wa kuvuna ukifika tutawaambia kwa vitendo
Mungu ni mwema sijambo.okay dear
hujambo ?