cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,749
- 189,142
Hukukimbiaaaa? Ningetimua mbiooo mie hapoooo.[emoji23][emoji23][emoji23]Dunia Ina viumbe hii ila Hawa ni waainayake[emoji23][emoji23][emoji23]sikumoja nilikuwa Kijiji Fulani Kwa nasubir usafir wakapita wakasimama na magari Yao wanakunywa chai mm nilikuwa stand pekeyang mmoja akanisalimia akauliza napoenda nwao wanapita huko akanambia twende ningesave nauli kma 20k [emoji23][emoji23][emoji23]nikawaza story ya kupelekeana moto [emoji23][emoji23][emoji23]nikawaambia hapna kunamtu namsubir[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa wakatili sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]