Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,263
- 49,203
Umekuwa mbosso coca kakushika pabaya aje anifundishe na mm bas 😀Aah eeh! Nikuite nani?
Majina yote nishamaliza 🎶
Aah eeh! Wangu wa ubani
Umeweza kunituliza🎼🎶
Aah eeh! Mambo ya chumbani
Yaani nalala huku napulizwa
Aah eeh! Penzi zito tani
Napewa raha kupitiliza🎶🎶🕺🕺