Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Alafu kazi sio mapenz tunajifariji tu mwanaume akupende bhana hata akiwa mkulima poa kheri ugali dagaa kweny amani kuliko wali kuku kwenye vita šŸ˜
Kabisaa mdogo wangu!! Unaeza kuwa nahuyo mwenye kazi unayoina ya maana still usiwe na amani ya moyo! Ukawa na hohehahe ukapata amani... mida mingine huyo hohehahe pia akakuchanganya ukaona rangi zote shortly...Hayanaga formula!!!
 
Kabisa my dear mapenz Sio kazi kwanza mm nalala na kazi au nalala na mtu šŸ˜€šŸ˜€
 
Mi nisichopenda ni ile janja janja sana aiseeehhh uwe na Kazi nzuri usiwe na kazi kama ni Janja janjašŸš®šŸš®šŸš®šŸš®šŸš®šŸš®šŸš®šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜
 
Kama kodi ya meza ipo na mtu anakujali maswali mengi kama wewe ni polisi ya nn
Si ndo hapo Dunia hii pesa watu tunatafuta sana mapenz ndo yanatuhangaisha muhimu mtu akupende utaenjoy hela kilamtu Anatafuta aisee muhimu aweze kumudu kiasi hata km sio yote
 
Mi nisichopenda ni ile janja janja sana aiseeehhh uwe na Kazi nzuri usiwe na kazi kama ni Janja janjašŸš®šŸš®šŸš®šŸš®šŸš®šŸš®šŸš®šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜šŸ˜
Madam ulipataga nn akakuzinguašŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€
 
Back
Top Bottom