Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,903
[emoji849]Wee huyo usimtaje kabisa hataki, kuna kitu niliandika jana naona kilimchoma mkuki. Hataki huu utani tena.
Hapa hutoki, atakuja mume mwenzako utakuwepo. Mtakuwa wawili halafu wote ndugu.
eeh,we njoo kwa mjeda,hahahahalabda kwako kipenzi mie doctors hapana aise nawaona tu walivyo. Hao ma injia hapanaaa . Endelea kutoka nao
Khakhakhaaaa.....
Una misimamo yako konki sana unanikoshajeeeeee!!
Wachaaa wee.just normal guy with a decent living
Basi sawaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe omba mungu ulimpata huyo maana wengine wanetu kabisa
Doctors wa kiume ni mafisi [emoji90]Watu wa kudate nao ni
Engineers
Doctors
Hawa wenginee ni pasua kichwaaa. Ila hizo kada 2 wako real haswaa na wamenyooka km rulaaaaa.
Antonnia
Tinsley
sophy27
Bantu Lady
Somo liwaingieee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwekee pm nifaidi mwenyewe leo maana kila siku wanafaidi wengine banaUsijareee kabisaaaa chagua niweke part gani [emoji41][emoji41]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Doctors wa kiume ni mafisi [emoji90]
engineers wa kike sura mbovu ila ndo unaweza gongewa akiwa site hadi ushangae
Tunapotongozwa tunajuaje kama maengeenerπππWatu wa kudate nao ni
Engineers
Doctors
Hawa wenginee ni pasua kichwaaa. Ila hizo kada 2 wako real haswaa na wamenyooka km rulaaaaa.
Antonnia
Tinsley
sophy27
Bantu Lady
Somo liwaingieee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani uongo [emoji23][emoji23] hakuna doctor wa kike aliye comfortable kudate na doctor wa kiume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushaanza uchawii wakoooo, mxxxieeeeew
Walimu mbona mnatubagua? π¬π¬π¬Watu wa kudate nao ni
Engineers
Doctors
Hawa wenginee ni pasua kichwaaa. Ila hizo kada 2 wako real haswaa na wamenyooka km rulaaaaa.
Antonnia
Tinsley
sophy27
Bantu Lady
Somo liwaingieee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi napenda mtuuuu nasio kazi yakeeeee aiseeehhh!!!just normal guy with a decent living
Puuzia huo ushauri mpwa. Hata vigezo hajatoa japo nahisi may be ni pesa...Tunapotongozwa tunajuaje kama maengeenerπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko makazini ni kada zote wanawekana sanaa tyuuh.Kwani uongo [emoji23][emoji23] hakuna doctor wa kike aliye comfortable kudate na doctor wa kiume
Af hao engineers kuwekana site huwa naziona mnoo
Pm Tena ??? Pm sipapendi mimi Kwani tunaficha nini haswaah?? Mamboooo ni hapahapaaaaNiwekee pm nifaidi mwenyewe leo maana kila siku wanafaidi wengine bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inategemea ualimu wa nn na unafundisha kitu gan.Walimu mbona mnatubagua? [emoji51][emoji51][emoji51]
aawwh wajeda mpo vizuri . Hamoa mambo mengieeh,we njoo kwa mjeda,hahahaha
Busara tupu yaani πππDoctors nawaogopa aisee
nimeeka hospital nakuona michezo yao . Hao Engineeta pia hapana .
kiiukweli siangalii proffession
Huuliziii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunapotongozwa tunajuaje kama maengeener[emoji23][emoji23][emoji23]