Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Nipo kibaruani aseeNahii hali ya hewaaaa ukute anakakamaaa tu huko saiii!!
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Nipo kibaruani aseeNahii hali ya hewaaaa ukute anakakamaaa tu huko saiii!!
Nimekuja fulu fosi nikifikiri umegeuka kumbe pigo zako za kiwaki zinaendelea tu kama jana.Rudi tu kwa mtu wako, nimekuachia tumeshaachana... Jack Palladino
Hapa niko kumbembemeza babu Shimba ya Buyenze anipe mdogo wake Msukuma.
Valentina Usiniharibie ukaniibia Msukuma mpya...
Wewe ndo uliniacha
Kama kuna mgogoro sema nikutengenezee. Mdogo wangu yule nikimpiga mkwara tu mara moja tu chap akili zinamrudi...Natuliaje sasa?
Situeshen iz taf![]()
Nimeachwa my ex, sasa tunarudiana au?😩Usimuache bana Jack Palladino anakulove ujue
Nipo single now1!😅Komaa usikubali akuache mtoto mzuri kama huyo
huko ndo kwenu?Love usiseme watu wa huko ni unique, wakigombana hakuna polisi alikuwa akiingilia. Kuna maugomvi ya koo miaka na miaka.
Polisi hawagusi, Mkurya akikwambia nitakugecha, panga lazima lishuke na damu.
Walishindikana, mpaka wakaundiwa kanda maalumu ya kipolisi.
Mkurya wa Ndola/Kitwe huyoHivi huna kangeu kidogo cha panga bantu lady
Aione Jack Palladino wa mbele mwenzake zaidi Msukuma mwenzake... Aseme suu nikubali hapa.Nimekuja fulu fosi nikifikiri umegeuka kumbe pigo zako za kiwaki zinaendelea tu kama jana.
Nina jipwa langu moja lihandisi liko huko Mauholanzi kama uko siriazi sema nikuungishe. Na ulimbwende wako huo itakuwa poa sana ila sasa ngosha the hung hunk utambebea mbeleko gani?😳😳🤔🤔
mbn humu wengi mko singoNipo single now1!😅
Ya kweli hayo bantu lady
Yes. Sasa unaingia mkoa wa Mara 💪huko ndo kwenu?
Mkuu nilikuwa kwenye serious relationship jana tu!..leo naamka nimeachwa!🤣mbn humu wengi mko singo
Tatizo msukuma yule ana mambo mengi kama unga wa nganoKama kuna mgogoro sema nikutengenezee. Mdogo wangu yule nikimpiga mkwara tu mara moja tu chap akili zinamrudi...
The situesheni izi amikabo! (amicable)
Sijakuacha, nakuweka pending huku natafuta mwingine. Tulia kwanza nipate mtu sawa?Mkuu nilikuwa kwenye serious relationship jana tu!..leo naamka nimeachwa!🤣
Si utaniacha tena tuNimeachwa my ex, sasa tunarudiana au?![]()

Njoo PM nikupe mwongozo. Ofishale nakukaribisha kwenye ukoo wetu. Hutajuta!Aione Jack Palladino wa mbele mwenzake zaidi Msukuma mwenzake... Aseme suu nikubali hapa.
Huyu hunk nammudu shemeji, fanya mambo niende Uholanzi Dar joto sana
Hujamjulia tu.Tatizo msukuma yule ana mambo mengi kama unga wa ngano
Unakubalije kumuacha kirahisi hivo?Nipo single now1!![]()