Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe na nduguyo Wigelekelo sawasawa ila Wasukuma mna nini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwanza huna mtoto ama mdogo wako huko wa kiume?
Mdogo wangu wa kiume umfanye nini? Wewe si umemaliza kusema hapo juu kuwa kwa sasa umebananishwa na lijamaa sexy li-hunk liko hung na unainjoi kishenzi hupumui hufurukuti? Sasa mdogo wangu wa kiume wa nini tena jamani?

Nitakujibu vizuri siku utakayogeuka na kuniita. Kwa sasa hata ukija kuachwa mi wala sitakuhurumia wallahi!
 
Halafu huyo naye ni ndugu yako, Msukuma mwenzenu...
Wee fanya kuniunganisha bana, kizuri kula na nduguyo 😜😜😜😜
Hivi nigeuke ama πŸ€”
 
Natamani hata nikulime disilaiki basi tu najikaza 😬😬😬😬

Msukuma wa kweli anakijua Kisukuma na mila zake au ni hawa wa kisasa wavaa mitepesho hawa? Mwambie akuruhusu ugeuke na hiyo night gown yako ya lace ndo nitaanza kukuita shemeji tena kwa heshima zote!
 
Back
Top Bottom