Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
nikahisi umeacha utukutu [emoji28][emoji28][emoji28] .
lodge which who where
Wanawali 'vilembwe' viliwasimama DedeHuyo sio Mimi Mkuu [emoji2957]
OvyoooMimi nachojua tayari ulishamleta Mkwe nyumbani, na bahati nzuri na mahari alilipa yote yule Mwanaume!
Hapa tunasubiri utuletee Vitukuu tu Babu yenu niwe nacheza navyo [emoji847]
hehhee makubwaLodge ya kimara
Na [mention]Poker [/mention] ila anafaidi jaman embu nibless nikuone lips zako na kiuno chako maana nasikia binti umeumbwa ukaumbika watu wanagombana kwa ajili yako
Kumbe like zigo hata wewe linakutatiza
Unaogopa kuachwa[emoji1787]Thanks best nimeona tatizo naogopa kutoa compliments zangu!..ila u look good[emoji6]
MAKAVU LIVE[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wanawali 'vilembwe' viliwasimama Dede
Acha mambo yako ya uvuvi wa ziwani
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
hehhee makubwa
hakuna wa kugombaniwa hapa
UsihadaikeAwwwwwwwwwwwww Bantu Lady kumbe ndio unaenjoyyy hii mutu Alooooooohh [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]!!
Kama mkurugenziiiiiii santo sana hakika mchana wangu unaenda kuwa bareeeeeeeedaaaa kabisa!! Kweli Bantu Lady anaenjoy best
Wabheja sanaa
Mbezi juani kwenye foleni ya mwendokasiView attachment 2477237
Tuombeane Kheri Wandugu, nipo Mafao House kufatilia Pension yangu [emoji847]
Hello Wednesday [emoji1635]
Ni shemeji yetu Kwa jamaa yetu GlennHuyu malkia mrembo ajageuka bado tu huyu mrembo anaonekana mtamu aisee
hapana
Ni shemeji yetu Kwa jamaa yetu Glenn
Tumpe heshima yake
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Nikiachwa nitaficha wapi sura yangu mkuu?Unaogopa kuachwa[emoji1787]
Bantu Lady njoo uone mvulana wako
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ulitaka kusema mint ya pipi kifual meant swali moja
Kwahiyo vijana mmekuja na style hii sio?🤣🤣Usihadaike
Bantu Lady ni mke halali wa Glenn
Chukua hii kutoka kwangu
Huyo unasifia ni mshika pembe tu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Bantu Lady alinimwaga mkuu...hataki hata kunisikia.Ni shemeji yetu Kwa jamaa yetu Glenn
Tumpe heshima yake
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Nyie vijana🤣🤣🤣Ni shemeji yetu Kwa jamaa yetu Glenn
Tumpe heshima yake
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mjukuu bana kha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nna furahaaa mnooooo
Wamesikia na kuelewaaaa.
Kwanza em niende group la chuo, nkawachachue watu na hii taarifa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nna furahaaaa mnoooo yaan aiiiiiiiiiiiih