Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,901
- 97,372
Ndio jamani, huwezi lala peke yako?Peke yako
Ndio jamani, huwezi lala peke yako?Peke yako
Au ulifungwa kama nilivyofungagwa mie na mtoto wa pwaniNdio jamani, huwezi lala peke yako?
We jua tu ukivicombine ni unhealthy😂Hahaha sijui watumia baga watuambie
Kila kitu kwa kiasi jmn
Mboga iwe kwa wingi....kuliko hivyo vingine
Jiridhishe nafsi yako mamaUmenitamanisha kula baga leo 😋
Akhaa! Sio mambo yangu hayo😃Au ulifungwa kama nilivyofungagwa mie na mtoto wa pwani
Sasa wewe unapenda nini kulala hutaki! Tabia mbaya huziwezi piaAkhaa! Sio mambo yangu hayo😃
Nalala ila mwenyewe, na enjoy maisha bila opposite gender kuniletea hiyo enjoyment!Sasa wewe unapenda nini kulala hutaki! Tabia mbaya huziwezi pia
Hii kuchapwaa inabidi uje na mkakati madhubuti kweli kweliNalala ila mwenyewe, na enjoy maisha bila opposite gender kuniletea hiyo enjoyment!
Hiyo huwa ipo ila haifanyi ushindwe kuishi maisha yako bila kupitishwa hukoHii kuchapwaa inabidi uje na mkakati madhubuti kweli kweli
Halafu kuna mimi na pizza uwiiiiWe jua tu ukivicombine ni unhealthy😂
Mi jmn baga ilinishinda ila pizza 🍕 😋 weeeeUmenitamanisha kula baga leo 😋
Mimi naona haina shida sema hiyo ngano sasaHalafu kuna mimi na pizza uwiiii
hahahaha ,naijua hiyo username ,mie Mtumishi nisijue hiyoWhy?
Hii user name yabgu nimeirudisha
Hahaa
Kula dada kula mdogo angu 😁😁
Sio mimi jamani😂Kula dada kula mdogo angu 😁😁
😄😄😄😄Sio mimi jamani😂
Nilikuwa namuonesha miss gee ndio kamiss burger😅
Nikuelekeze chimbo la baga tamuMi jmn baga ilinishinda ila pizza 🍕 😋 weeee
Nmeishia kula nyama pori 😋Jiridhishe nafsi yako mama