reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,462
- 29,391
Kaahh ..pole Sana huku mjini daslam tumpewa soteeBado sijapataaa dear nyie huko tayari???? Naona wanaangalia administration na SMT kwanzaa!!
Kaahh ..pole Sana huku mjini daslam tumpewa soteeBado sijapataaa dear nyie huko tayari???? Naona wanaangalia administration na SMT kwanzaa!!
Nyuki; or ndevuhapo kwa mtumishi au wapi
Standi ya wapi hiyo ?
Nyuki mule ndani ??Nyuki; or ndevu
Huku badoo dear! Unajua bushi ni bushi tu halafu Hii Wilaya ina ukiritimba sijawahi ona! Eti ni SMT tu!Kaahh ..pole Sana huku mjini daslam tumpewa sotee
Mie mzimaaahHaya bana mzima lakini wewe
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Aminaa Amina kubwaaaa dear!! Baraka tumezipokea!
Dear cjambooookipenzi cha genius
hujambo
Mtoto wa kike pambo!Nyuki mule ndani ??
leo kuna mnada California nahisi nitapita kushangaa macho .
Navaa kwa namna zote kulingana na mazingira.Ula hupendi kuvaa official code??
Ok! Nilikuwepo mitaa iyo 6years back!Nisharudi rafiki nipo Nyakibimbirii hukuuu 😁!
nipo poaDear cjamboooo
Vipi wee?
Lol kumbe!! Hongera sana hope uliinjoy!! Kagondo mi napita nikiwa naelekea Bk town! Najua ulitera kwakwenda mbele 😁😁😁😂!!Ok! Nilikuwepo mitaa iyo 6years back!
Nikapataga na ka kaisiki kammoja sehemu mmoja panaitwa kagondo
mimi sio mvaaji 😆Mtoto wa kike pambo!
Go shop pendeza Ili uzidi kuwa mlito zaidi!
Basi usiku ntakupigia mi horn tu;
Ukiwa unaenda ofisi zenu za halmashauri zilizo pale hamgembe? Kwenye round about unauma kushoto unapita kwenye karakana ya jeshi then ofisini!Lol kumbe!! Hongera sana hope uliinjoy!! Kagondo mi napita nikiwa naelekea Bk town!
😂😂AsanteHuna kitu kinachokukataa mama masapta sapta.!
Uko vizuri kumbe geografia yakule uliinyaka vizuri!!Ukiwa unaenda ofisi zenu za halmashauri zilizo pale hamgembe? Kwenye round about unauma kushoto unapita kwenye karakana ya jeshi then ofisini!
Unapenda masapta sapta eh?mimi sio mvaaji 😆
napenda kununua vyombo hivi na vyakula .
Miye hupendelea za Azam kipenzi, nimetumia hiyo ya Azam. Pure coconut mara chache sana.yametoka vizuri
nazi umetumia hizi za Azam au pure coconut
yeah sema kavivu hakoUnapenda masapta sapta eh?
Ooh vizuriMiye hupendelea za Azam kipenzi, nimetumia hiyo ya Azam. Pure coconut mara chache sana.