Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo foleni kdg imepungua
IMG_20230110_125508_BURST4.jpg
 
View attachment 2476146
Kuna Vijana hapa huwa hawaamini Babu yao Umri umeenda, Imagine huyu ni last born wangu 🤪🤗

Hello Tuesday 🥂
Babuu mwambie last born asogeze kamera kuliaaa😎!!

Dogo yuko vizure ana misuli balaaa!!✌️✌️✌️✌️!
Mwambie mjukuu namsamilia sanaaa!!
Helloowww babuuu ✋
 
Babuu mwambie last born asogeze kamera kuliaaa[emoji41]!!

Dogo yuko vizure ana misuli balaaa!![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!
Mwambie mjukuu namsamilia sanaaa!!
Helloowww babuuu [emoji113]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nakwambia hapa najitoa ufahamu tyu siku wakaguzi watushtukize akili ndipo itanikaa sawa!!
Ushaazimia?? Mi nachukua azimio za online aisee !!Wamenipa mapya ila Lesson naendelea ya Mwaka Juzi haijaisha!! sophy27
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walimu mbarikiwe sanaaaaa.
Nawapendaaaaa!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom