Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,528
- 96,124
aisee,hilo andazi litakua tamu sanaHapo na unga wa ngano, mchanganyiko huo unapata maandazi mtu chake
aisee,hilo andazi litakua tamu sanaHapo na unga wa ngano, mchanganyiko huo unapata maandazi mtu chake
Kwaraha zakeee hadaiwi na mtyu wala hatoki na mke wa mtuuuuuu💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸😘😘!Na anafauduuuu kweli kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu mwema jirani!Hello jirani
habari ya jnne
Nipo poa vipi wewe ?Mungu mwema jirani!
Unaendeleaje!
Karibu juice ya tende
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] Mi nasifia tyuuuuu mchawi mpe sifa zakee [emoji16]!Usije ukajikuta sentrooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Niko poa;Nipo poa vipi wewe ?
thank you .. itakuwa tamu hiyo .
Niko poa Rafiki habari za wewe!!Na raha ya dera ukilivaa ulishikilie au ulikunje kidogo.
Unaendeleaje madamme
Sema wewe unakagua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku ilee hukuonaa naweee.
hapo kwa mtumishi au wapiNiko poa;
Ndo ninaipata hapa mawasiliano.
Nikukute stend Sasa apo leo utie baraka
Ula hupendi kuvaa official code??Ilikuwa ni kwenye Wedding party.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijaonaa hataa mi huwa nafocus kuzoom baadhi ya maeneo tyuu [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]!
Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwaraha zakeee hadaiwi na mtyu wala hatoki na mke wa mtuuuuuu[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji8][emoji8]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukaguzi muhimu.Sema wewe unakagua
MuNgu ni mwema!Niko poa Rafiki habari za wewe!!
Haya bana mzima lakini wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukaguzi muhimu.
Aminaa Amina kubwaaaa dear!! Baraka tumezipokea![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walimu mbarikiwe sanaaaaa.
Nawapendaaaaa!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
kipenzi cha genius[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukaguzi muhimu.
Nisharudi rafiki nipo Nyakibimbirii hukuuu 😁!MuNgu ni mwema!
Umesharudi rwamishenye
Kukagua nini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukaguzi muhimu.
yametoka vizuriNazi, sukari nikakandia samli kidogo sana. Amira, hiliki, chumvi kidogo sana na banking powder. Sijatumia maji kabisa.