Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,262
- 49,202
Ayasawa.Mimi sipo Hapo. Ni marafiki zangu hao.
Ayasawa.Mimi sipo Hapo. Ni marafiki zangu hao.
Vipi shinyanga hamjambo?Ayasawa.
Nisamee bure AuntieNimecheka had nimemuamsha mtoto loh😂😂
Wazima kabisaVipi shinyanga hamjambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nn??Kumbe still i got it[emoji16][emoji16]View attachment 2475252
Niko poaaaaaah shougaaa uyogaaa akeee, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Bantu Lady cocastic Tinsley Lovelovie sophy27 ERoni Jack Palladino sumbai kitalembwa Wigelekelo Poor Brain kiduku mpapaso na wengineo mmeshindaje wapendwa!??
Basi nashukuru kusikia hivyo madam sophy. Ubarikiwe Sana.Wazima kabisa
Ana hasirasana😀😀Mkuu Shimba ya Buyenze nimeona like yako ya masikitiko ☹️ nimecheka sana.
sophy27 anatuchanganya Sana.
Humtendei haki. Na wewe unapendwa na wangapi humu? Tatizo lako haujaamua mpaka Leo unayumba. Sema nani unampenda tujue moja.Ana hasirasana😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa wee shangaziii. Unacheka nn??[emoji23][emoji23][emoji23]
Miss you kipenzi!!! 😘😘😘Niko poaaaaaah shougaaa uyogaaa akeee, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Safi tu tangu nilitaka nikubless uone kisogo changu nilisuka yebo my wangu mwaka uliisha vizuri😂Nililala dear naona nimepitwa na vitu vikareeeeeee!!!
Habari za asubuhi madam!!😘
Hongeraa sana kipenzi maisha Ndio hayahayaa usijibaneee[emoji8][emoji8]!Nilipitwa dear Fanya kuibles asubuhi yangu vipindi vianze vizure!!Safi tu tangu nilitaka nikubless uone kisogo changu nilisuka yebo my wangu mwaka uliisha vizuri[emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!Kwa chai ya rangi, maziwa na kahawa [emoji477] mapishi yangu [emoji126]View attachment 2475943