Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Nashukuru migahawa ya karibu hapa hawauzi na siipendi tena .Kama zina hayo madhara Bora uache make vya kuandaliwaandaliwa tu Huko barabarani sio kabisa
hujui ni nyama kweli au ya mbwa .. Saa moja tu vishandaliwa na kuwekwa mezani .