Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Pole love, karibu nimetamani maandazi leo 😁😁😁😁!
Njaa imeanza gafla lol!! Yanavutiaaa![]()
Pole love, karibu nimetamani maandazi leo 😁😁😁😁!
Njaa imeanza gafla lol!! Yanavutiaaa![]()
Kaka ebu nitumie story zako za kichawi nasikia uliandika uzi kuhusu hiloSura sio roho.. Na nyie hebu pigeni za kwenyu
Asante kipenzi ukila wee mi nashiba kabisaaa si unajua navokupendaga eeh!! Enjoy your meal dear!Pole love, karibu nimetamani maandazi leo 😁😁😁😁
Nakupenda zaidi, ulivyo mzuri na roho yako nzuri hivyohivyo 😘😘😘😘 wachache wa hivyo 🌹🌹🌹🌹Asante kipenzi ukila wee mi nashiba kabisaaa so unajua navokupendaga eeh!! Enjoy your meal dear!
Aririririririiiiiiiiiii 💃💃😘!Nakupenda zaidi, ulivyo mzuri na roho yako nzuri hivyohivyo 😘😘😘😘 wachache wa hivyo 🌹🌹🌹🌹
UpoHongeraa sana kipenzi maisha Ndio hayahayaa usijibaneee!Nilipitwa dear Fanya kuibles asubuhi yangu vipindi vianze vizure!!
Naomba andazi
Njoo uchukue Kiduku, tena ya nazi matamu 😋😜Naomba andazi

Kutamanisha ujue kumbe ndio maana shavu dodo sioNjoo uchukue Kiduku, tena ya nazi matamu![]()
Yamekolea sanaa mafuta, yamejiacha km cake.




Kaka nitumie linki nisome uzi zako zile za elimu ya asiliKuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
😄😄😄😄😄 Cocaaa but makavu huwezi amini hayana mafuta, nimekandia nazi tupu.Yamekolea sanaa mafuta, yamejiacha km cake.![]()
Anza na hiiKaka nitumie linki nisome uzi zako zile za elimu ya asili