Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Sawa mkuu!🤣Ukilishwa punguza kelele utaachwa wewe
Sawa mkuu!🤣Ukilishwa punguza kelele utaachwa wewe
Wivu wake unavuka mipaka...wewe ni binti yangu kwanini atutilie mashaka?nimefanana naye basi kweli sie wakurya 😅
nina wivu pia .
Huyu ndege sijawahi kumuelewa kabisa
Basi kuanzia hapa utakuwa salama.Sawa mkuu!🤣
Unaongea usichokijua mkuu!🤣🤣🤣Basi kuanzia hapa utakuwa salama.
Na muda huu Bantu Lady anadanga akuletee chakula so kuwa mpole, ingia jikoni uoshe vyombo, ufute na vumbi na madirishani.
Jifunze kula na mashangazi sawa mdogo wangu?🤣🤣🤣🤣
yeah upo sahihiWivu wake unavuka mipaka...wewe ni binti yangu kwanini atutilie mashaka?
Usichelewe basi nakusubiria?
Amina😂yeah upo sahihi
mimi na wewe damj damu
okay
Naongea nikijuacho...Unaongea usichokijua mkuu!🤣🤣🤣
We unadhani Bantu Lady kaja kwangu kwa kubahatisha au unahisi nimefahamiana nae juzi?🤣🤣🤣Naongea nikijuacho...
Nakuomba tuache hiyo mada wakija
Akina Wigelekelo na ERoni ushuhuda wao utakuchafulia plz acha🤣
Kauka dogo unaharibuWe unadhani Bantu Lady kaja kwangu kwa kubahatisha au unahisi nimefahamiana nae juzi?🤣🤣🤣
Akii nimecheka
Jamani poleNaendelea vizuri love nimetoka hospitali na kulala tu muda wote sina hata pozi hapa najisikia hovyo hovyo tu!!
Umeshindaje kipenzi??
Pole my ex🤣🤣🤣Akii nimecheka
Naumwa mwenzio niache
Mngetulia kwanza nyie vijana wadogo!Kauka dogo unaharibu
Namchora tuBest na BL Mlichomfanya Vale Mungu anawaonaaa!
Uzuri Penzi lenu na Vale huwa halichachi!! Hapo tu ndio ananikosha unazunguka weeeeehh unaswampa weeeeehh ukirudi anakupokea hanaga makuu kabisa!!
What a strong woman!!
![]()
Vita unayoitaka kwangu itakugharimu sana dogo.Mngetulia kwanza nyie vijana wadogo!
NyoooKwamba nitaachwa na babe Bantu Lady ? This time i am taken for good!![]()
Shiii...uwanja ni wako mkuu!🤣🤣🤣Vita unayoitaka kwangu itakugharimu sana dogo.
Unataka aibu ikurudie baba?
Sema shiii nikuonyeshe kazi
Ok ngoja wamalizane naye niwaite hapaShiii...uwanja ni wako mkuu!🤣🤣🤣
Kina nani wamalizane?Ok ngoja wamalizane naye niwaite hapa