Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]!
Jr anadeka hadi basi acha akili imkae sawa kwanzaa[emoji1787]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa asidekee jaman khaaah wee.
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] ugua poleeee mwayaaa.
Uponee uendelee na fujo zakoo, mie nastaafu sasa.
Mi mwenyewe nishastaafu kitrambo mbona hapa namalizia malizia tyu nachukua likizo kwanza nipumzike kidogo!!
 
Mi mwenyewe nishastaafu kitrambo mbona hapa namalizia malizia tyu nachukua likizo kwanza nipumzike kidogo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah wee.

Watu wananambia huu mwaka nimechachukaa vibayaaa
Fujo km zoteeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jirani leo kanifaidi, alishindwa kuvumilia akaamua kucheka kwa saiti. Uwiiiiii.
 
Acha akufaudu tyuuuu umemfanyeje jirani kwani??? Kashikashi zako sio ndogoo shoss angu anaachaje kucheka kwa sauti!!😁😁
 
Yes babe, kuachana ni ngumu sana!..nakupenda pia babe😘

Best na BL Mlichomfanya Vale Mungu anawaonaaa 😁😁😁😁🤣!
Uzuri Penzi lenu na Vale huwa halichachi!! Hapo tu ndio ananikosha unazunguka weeeeehh unaswampa weeeeehh ukirudi anakupokea hanaga makuu kabisa!!
What a strong woman!!
✌️✌️✌️
 
Back
Top Bottom