Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Best na BL Mlichomfanya Vale Mungu anawaonaaa 😁😁😁😁🤣!
Uzuri Penzi lenu na Vale huwa halichachi!! Hapo tu ndio ananikosha unazunguka weeeeehh unaswampa weeeeehh ukirudi anakupokea hanaga makuu kabisa!!
What a strong woman!!
✌️✌️✌️
Kwamba nitaachwa na babe Bantu Lady ? This time i am taken for good!😅
 
Kwamba nitaachwa na babe Bantu Lady ? This time i am taken for good!😅
Bantu lady amekupenda kweri kweri si unaona regardless ya maneno yote humu still amekomaa amekushikilia nawe umshike ipasavyooo sasaaa!!
Ukilega lega wanamnyanyua juu juu ubaki unalia naroho yako usiseme sijakwambiaaaa 😁😁😁😁🤣!!
 
Acha akufaudu tyuuuu umemfanyeje jirani kwani??? Kashikashi zako sio ndogoo shoss angu anaachaje kucheka kwa sauti!!
Bhana hapa jobless ni mie tyuuh, na isitoshee wapangaji wenzangu huwa wanachelewa kurudi, na hatuonan inaweza pita hata week 3, yaan hata weekends sio rahis sanaa, ni mara chache mnoo. Kila mtu yuko buzzy na life lake, mambo madogo madogo tunamalizana kwa simu.

Km kawaida mie ndo huwa nawahi kurud hapa, sasa leo kumbe aliwahi kurudi mwingne, sijui yuko off au alikua na tatizo gan. Afu ana gari, sasa ningeona pale parking ningejua kuna mtu yupoo. Sasa hajarud nalo.

Bas bhana mie fungua gate ingia ndan huku naskiliza music kwa sikio 1, c ikawa inaimba "shake body " ya Skales wee nilichachawa nkakumbuka enzi zangu nikiwa dancer, nsichomoe na kuacha cm iimbe yenyewe pandsha sauti weka chini Pa1 na mkoba, nkaanza shushaa mautundu yangu hapooo, kata viuno juu had chini. Yaan niko serious mwenyeweee nshachachawa hapo, kumbe jiran yuko kwake ananichabo dirishan, uvumilivu ulimshinda kwann asichekee kwa nguvuu,

Nlishtukaa ghaflaaa, okota vitu vyangu chini huyoo had kwangu fungua mlango tangu nlivoingia ndan had sahv, naona aibu sijui kesho itakuaje. Bora nisionane hata mwezi upite atakua amesha sahau,

Mie nna heka heka wallah. Khaaaah
 
Back
Top Bottom