National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
Mie mzima mzee wa kazi. kheri ya mwaka mpyaMkuu ... Natumai mzima wa afya...
Mie mzima mzee wa kazi. kheri ya mwaka mpyaMkuu ... Natumai mzima wa afya...
kirahisi rahisi sana mzee 😀😀😀Nimekubali Kwa mikono miwili
Namshukuru mungu nimevuka salama kabisa.... Bana bana pita pita zangu si nakutana na deepPond ahahahahahahahah daaahMie mzima mzee wa kazi. kheri ya mwaka mpya
umebakiza nije
😂😂😂 si unajua jioni hii ndio mahala pa yale mastoryNamshukuru mungu nimevuka salama kabisa.... Bana bana pita pita zangu si nakutana na deepPond ahahahahahahahah daaah
🤣🤣🤣🤣 Aiseee so poa kabisaaa... Watu na fani zao kwa kweli... Vipi huku selfika akini...!!😂😂😂 si unajua jioni hii ndio mahala pa yale mastory
Yes
Mabaya.... Sio kwa ukimya huo😟😟😟Yes
mambo
Ukimya upi ..Mabaya.... Sio kwa ukimya huo😟😟😟
🙌🙌🔒🔒🔒 PoteUkimya upi ..
Pole
Hamna hata🙌🙌🔒🔒🔒 Pote
huku napita kidogo kusalimia na kusepa.. nipo busy na baby 😊😊😊🤣🤣🤣🤣 Aiseee so poa kabisaaa... Watu na fani zao kwa kweli... Vipi huku selfika akini...!!
Ayaaa bana... Ant wa me mzima lakini..?Hamna hata
Wapi huko ??
🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣 Babilon beezy sku izihuku napita kidogo kusalimia na kusepa.. nipo busy na baby 😊😊😊
Niko busy na baby jamani nishasema 😀😀😀🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣 Babilon beezy sku izi
Daaah pole yake Antonnia .. ila tuombe dua ataendelea vizur naimani🤲🤲🤲
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Weee mtu mbadi... Yaaan weee mbayaaaa.... Taratibu lakini..Niko busy na baby jamani nishasema 😀😀😀