MWAKA HUU NAINGIA KANANIUliokoka toka mwaka jana mkuu?🤣🤣
Naona yuko sawa kumbe flu tuAnanipa wasi wasi.
Mkuu wanaume tumekubaliana tumwachie Bantu Lady amlee kijana wetu Jack Palladino plzBantu Lady where are you mama?View attachment 2470877
Mkuu ... Natumai mzima wa afya...MWAKA HUU NAINGIA KANANI
Nillelewe mimi?🤣kazi kweli🤣Mkuu wanaume tumekubaliana tumwachie Bantu Lady amlee kijana wetu Jack Palladino plz
hahha jambo gani daddieMwanangu kuna jambo nimelisikia limeniumiza kichwa unaweza kuja kunifafanulia? Nimeogopa kidogo
Usiwaze kakaUnamzingatia sana coca
Atakuingiza chaka shauri yako
Kaa kwa kutulia
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Njoo nyumbani haraka binti yanguhahha jambo gani daddie
Hahha tuombe Mungu tumfanye mpate wachumbaaaa. Lol
Asikudanganye huyo ana wivu kama nini.Sisi sote ndugu basi
noted 😍😍
najaa dadyNjoo nyumbani haraka binti yangu
Ukilishwa punguza kelele utaachwa weweNillelewe mimi?🤣kazi kweli🤣
Nakusubiria binti yangunajaa dady
nimefanana naye basi kweli sie wakurya 😅Asikudanganye huyo ana wivu kama nini.
Sijawahi hata kumsalimia huyo mkurya😆