Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Hivi mwenzio yupo wapi?Nyooo
Hivi mwenzio yupo wapi?Nyooo
Nani?Hivi mwenzio yupo wapi?
MtakatifuNani?
Nikuulize wewe umemficha wapi?Mtakatifu
hahahaha,we mzee mambo vp
nawe umefichwa wapi?Nikuulize wewe umemficha wapi?
Mi nipo zangu nazurura tu humu kama mbuzi asie na mchungajinawe umefichwa wapi?
hahaha,taizo, ukifungwa kamba ,unakata,itakua umezoea kuzururaMi nipo zangu nazurura tu humu kama mbuzi asie na mchungaji
Hahaaaahahaha,taizo, ukifungwa kamba ,unakata,itakua umezoea kuzurura
Kumbe ndio zako kukata kamba eeh😅Hahaaaa
Nina machungu Jack Palladino kaniacha
Sasa mi nimekataje kamba jamaniKumbe ndio zako kukata kamba eeh![]()

Jamaa kasema hapo sio mimi😅Sasa mi nimekataje kamba jamani![]()
Nimekubali Kwa mikono miwiliMkuu wanaume tumekubaliana tumwachie Bantu Lady amlee kijana wetu Jack Palladino plz
Ananisingizia banaJamaa kasema hapo sio mimi![]()
Wow sumbai mambo, umepotea sana... beach gani hii?Bantu Lady where are you mama?View attachment 2470877
hahaha,hata wewe unaachika?Hahaaaa
Nina machungu Jack Palladino kaniacha
Nimeachika tenahahaha,hata wewe unaachika?

hahahaha, kudadekiNimeachika tena![]()