Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante luv. Anafatilia maana ni mtu mwenye wivu sana. Ni kijana but nachoshukuru ana hekima sana. Bila hivyo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ akiona kitu hajapenda, atauliza.
Sababu maisha ya kawaida miye ni mwaminifu, so vya huku anajua nahave fun tu.
Sema hajakutana na comment zangu za kuflirt atakufwaaaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Lol hongera sana kipenzi!! Vipi yeye sio wa kujiachia achia kucheka cheka na wanawake Humu????
Hapo tu ndio sitaweza vumilia hata awe ananipa nini siweziiiiii!๐Ÿ™Œ
 
Mimi huyooo๐Ÿ˜Š
 
Msimu wa Kulipa Ada kwakwenda mbereeeeeโœŒ๏ธโœŒ๏ธ!!
Wigelekelo njoo muone mvuvi wako wa kimataifa na mbunu zake za kimafiaaahhh๐Ÿ˜

Babuu nuksii sana wewee huongeagi sana walaaaaahhhh๐Ÿ˜Ž!

Hello granpa!โœ‹
Kwa kweli ni mateso kusomesha kwa Hela za Pension, yaani hadi nashindwa kununua Kiko ya kuvuta kisa kusomesha ๐Ÿคช

Wewe na Wigelekelo hamuamini kuwa Babu yenu Umri umeenda. Nikisema niwe mvuvi hamchelewi kusikia Kibabu Cha miaka 70 kimefia Lodge ๐Ÿ™ˆ
 
Asante luv. Anafatilia maana ni mtu mwenye wivu sana. Ni kijana but nachoshukuru ana hekima sana. Bila hivyo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ akiona kitu hajapenda, atauliza.
Sababu maisha ya kawaida miye ni mwaminifu, so vya huku anajua nahave fun tu.
Sema hajakutana na comment zangu za kuflirt atakufwaaaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Umepata Mtu muelewa sana kipenzi usikubali kumpoteza kizembe shikilia hapohapooo!!

Sasa wengine humu kwenye ku flirt they take it serious inakua tabu tupu!!
Much congrats dear!!
 
Aisee wamepania sana kutugombanisha, we nisikilize mimi hao wengine wapuuze!๐Ÿ˜‰
Wige alinionya mapema. Mara jana makoloni si yakaja kweli. Tena kwakuwa ulimwaga ugali Valentina akamwaga mboga...
Wige akaniambia mara 10 ya mzabzab kuliko wewe ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„
Sasa kama hadi umempiku mzabzab ๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
 
Ukiacha hao wote kuna mmoja huyo anaitwa mtakatifu Anne akija hapa itakua shida naona ananichora kwa mbali tu!๐Ÿ˜…
 
Kwa kweli ni mateso kusomesha kwa Hela za Pension, yaani hadi nashindwa kununua Kiko ya kuvuta kisa kusomesha ๐Ÿคช

Wewe na Wigelekelo hamuamini kuwa Babu yenu Umri umeenda. Nikisema niwe mvuvi hamchelewi kusikia Kibabu Cha miaka 70 kimefia Lodge ๐Ÿ™ˆ
weeeehh kwaile selfii yaile siku thubutuuuu!
Bado yanki sana tena kijana mmoja matraaatraaaaa sanaaaa wa kwenda roundi heavy๐Ÿ˜!
 
Lol hongera sana kipenzi!! Vipi yeye sio wa kujiachia achia kucheka cheka na wanawake Humu????
Hapo tu ndio sitaweza vumilia hata awe ananipa nini siweziiiiii!๐Ÿ™Œ
Hapana hata kabla yamimi, zamani alikuwa akiandika mada MMU siku hizi kaacha majukumu yamemzidi.
Kwasasa hawezi, anajua kichaa cha Kikurya anaenda kwa step ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ana msemo wake ameokota dodo chini ya mnazi!!!
 
Safiiiii hio kipenzi hongera sana!!! Vipi ukimuona anacheka na nyani humu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜???
Unajua haya mazoea mazoea tuliyonayo humu ni hatari sana kwa afya ya mahusiano endapo mtu mna mahusiano ile siriaz eeh???
 
Toka tumekuwa pamoja kaacha na kucomment kabisa ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Back
Top Bottom