cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,335
- 188,023
Ulayaa kuna nyanya pia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi napika Lizzy [emoji38]View attachment 2467776
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulayaa kuna nyanya pia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi napika Lizzy [emoji38]View attachment 2467776
Mi mwenyewe mbabuMi navaa gagulo mpka leo..ila nimeshazeeka
Watu na vijanaa wao, na hawaringi wala nn.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sumbai I'm in a relationship, kuna kijana wa JF kishaniwahi miezi kadhaa iliyopita [emoji7][emoji7][emoji7]
Kumekuchaaaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si upo na naniliu halafu naniliu Tena?
Pia cocastic
Vingine tumwachie ERoni na mzabzab
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mjep bana 😆 ..mzima lakini?Mi mwenyewe mbabu
Wacha nitangaze ndoa chap
Kabla vijana hawajafanya kitu hamna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntalubondaaaa.
Niko poa madamMjep bana...mzima lakini?
Na situpiiiii kamweeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaaa!! cocastic akitupia officialwear nihifandhie mr vocha!!
utamwambia nimesubiri weeee hadi basi!!
Hahahaa kale uliko kasscreen shot umeshakadelete??Niko poa madam
Hofu kwako tuu...
Usisahau ka selfie ka 2023 tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ka 2023 ni special madamHahahaa kale umeshakadelete??
Ooh ngoja kesho nipake faundesheni nizibe rinkozi na pimpoz nipake na kapouda ntatupiaKa 2023 ni special madam
Fanya namna tafadhali
Ushamisika
Kale kamepitwa na wakati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nifichweee na kipangaa, tukimalizaa tukumbukanee vizuriii.Sema ulikuwa umefichwa huko!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nillkuwa natoa baridi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilifichwaaa na madesaaa,Ulifichwa wapi wewe?jamaa amekuachia sasa hivi?
Yaani hayo ma foundation waachie vijanaOoh ngoja kesho nipake faundesheni nizibe rinkozi na pimpoz nipake na kapouda ntatupia
Watoto wanarudi kesho wapo mahali..Yaani hayo ma foundation waachie vijana
Sisi wazee natural inatufaa hata kama tuna mvi tunajivunia mvi zetu
Selfika madam
Watoto wamelala?
Madesa wapi wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilifichwaaa na madesaaa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Madam selfika japo miguu tuWatoto wanarudi kesho wapo mahali..
Basi sawa kwahyo nisipake hata super black kuficha mvi...
Tukutane kesho jioni humu...