Eendiwoooooooo wa Vipaji!! Ngoja nirare kidogo😁Usingizi kama usingizi..🤣🤣🤣
We unalalaje mapemaaa hivi?Usiku mwema wapendwa!!!
Mlale unonooo![]()
Usingizi mkuuuu sijui ndio ka Junia mi hata selewi😁😁😁!We unalalaje mapemaaa hivi?




Mi naselfika sana tu madamNahisi Usingizi mr vocha! Wenyewe mmedinda kutubless sasa!
Hongera boss ladyUsingizi mkuuuu sijui ndio ka Junia mi hata selewi😁😁😁!
Mzee wa nchi za nje
Ametupiga chenga ya mwilihahahaaa!! cocastic akitupia officialwear nihifandhie mr vocha!!
utamwambia nimesubiri weeee hadi basi!!
Shauri ya vibarua vya watuNa vile unapitwaga fanya kutulia kabisa!
Sijui amekwama Wapi shoss angu walai ameniangushajeee leo🤣!Ametupiga chenga ya mwili
Mkuu Unaongea na simu???😁😁Kwamba mzee nani ndio kaamua
Vizuri mkuu Kazi kwanza selfika tupo tyu! in coca's voiceShauri ya vibarua vya watu
Badae kote huko mr vocha nawee! Hauna ka selfii ka karibu hapo Ili nisisinzie KwaniMi naselfika sana tu madam
Na baadaye nitaselfika
Usitoke


????Eeh babaMzee wa nchi za nje