Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Wanamchana makavu🤣🤣🤣!!Wana wanaruka na Baba askofu bila wogaaaa
Wanamchana makavu🤣🤣🤣!!Wana wanaruka na Baba askofu bila wogaaaa
Ninao 9Thubutuuuu yakoo!!
Basi hongera sana mkuu umekuzaaa sio kidogo!!Ninao 9
Na wengine tunazitamani 😏Ujue wengine tumeshindia chipsi dume
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sumbai I'm in a relationship, kuna kijana wa JF kishaniwahi miezi kadhaa iliyopita 😍😍😍Noted
Noted
Nimeona kwingine huko wanamshushia kipondo hevi kuwa aache unafiki maana eti na yeye ni mdau mkubwa wa haya mapombe makali. Wanahoji mbona yeye ini lake halijaharibika?Wana wanaruka na Baba askofu bila wogaaaa



Yes.
Hii Kwa kingereza inaitwaje?
Hao wasimsingize Baba askofuNimeona kwingine huko wanamshushia kipondo hevi kuwa aache unafiki maana eti na yeye ni mdau mkubwa wa haya mapombe makali. Wanahoji mbona yeye ini lake halijaharibika?![]()
Usije sema sijakwambiaSijaolewa na sina huyo mdogo wa kike sasa Jack![]()
Si upo na naniliu halafu naniliu Tena?Basi usiongee sana!..nitakutafuta!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 niambie tu rafiki yangu National Anthem unaitwa huku my best..
Mie wananifahamu vyema mbona tena vizuri sanaaa!!
Huyo
Acha nipambane nahali yangu tyu Wigeeee nyie Humu pendaneni kwa amanii kabisa!!Huyo
Bado anaruka ruka
Kama maharage kwenye sufuria
Ila akitamka tu
Patakuwa hapatoshi
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Sauti IPO sawa kabisaaaa kabisaaaAcha nipambane nahali yangu tyu Wigeeee nyie Humu pendaneni kwa amanii kabisa!!
Mimi hiiniliyonayo inanitosha
![]()