Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,217
Haya namie weka yangu ndio ntakubless japo sina Hata mpya mimi! Atanisaidia kuweka Bantu LadyWewe hiyo ilikuwa yakwako wewe unaita wengineeee
Haya namie weka yangu ndio ntakubless japo sina Hata mpya mimi! Atanisaidia kuweka Bantu LadyWewe hiyo ilikuwa yakwako wewe unaita wengineeee
Kwako Bantu Lady 😁😁Nataka blessingssss
Kichwa kama kichwa?🤣🤣Ndiyo wa kiume huo, tuwekee kichwa ama miguu basi 😉
Aweke Bantu Lady rangi ya mtume marshalahHaya namie weka yangu ndio ntakubless japo sina Hata mpya!! Atanisaidia kuweka Bantu Lady
Kabisaaa kabisaa
NakaziaaaaaaaaaaaaaAweke Bantu Lady rangi ya mtume marshalah
Valentina kafanyaje tenaPoa haina shida. Nimeona unavyochochea kwa ValentinaWige hapana
![]()
Aliuliza kitu, ukaanza kushuka 🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi vikianza kuumana, najikalia pembeni.
Kwamba ni mchepuko wa Jack Palladino?Aliuliza kitu, ukaanza kushukaMimi vikianza kuumana, najikalia pembeni.
Kawaacha wote, wakija uwape taarifa zao 🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba ni mchepuko wa Jack Palladino?
Mwanaume rijali hana demu mmoja
Ulisikia wapi uwe nae wa peke yako?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mimi kijumbe sio?Kawaacha wote, wakija uwape taarifa zao![]()

Hapo sasa umewamaliza, sidhani kama watarudi tena!Kawaacha wote, wakija uwape taarifa zao 🤣🤣🤣🤣🤣
Jack Palladino wewe kila siku ni mitongozo mipya tu
Ahaaa mtaniharibia mbona sina hayo mambo!😊Jack Palladino wewe kila siku ni mitongozo mipya tu
Upoooooo???Pm ili iweje??? Mambo ni hapahapaaaa lect nawewe! cocastic tupia kitu asubuhi Yangu ikae vizuri dearrr