Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Hahahaha J unatakiwa tumlipe....Yawe mambo ya J?
Hahahahhaaa
Nimecheka kifala
Hahahaha J unatakiwa tumlipe....Yawe mambo ya J?
Hahahahhaaa
Nimecheka kifala
😀 hamna kitambi hapo
hamna kitambi hapo
Huwezi amini kwenda pm kwa mtu sijawahi njoo wewe mpendwa siwezi
Nipo shem, habari?
Hahahaha, we jamaa ni mbadhilifu na mfujaji, unajilimbikizia totoz zote humu
@ArIeN umeweka kambi kabisa![]()


Hahahaha, we jamaa ni mbadhilifu na mfujaji, unajilimbikizia totoz zote humu
Kisa?Shemeji nimekushindwa...
Jacket tu hiyo,huyo sinaga kitambiKipo bro tena kile cha hela
Ukitaka kujua nguvu ya tunguli za Ngonga we jiulize ilikuwaje msanii wenu Diamond Platinumz alishindwaje kwenda kufanya show Mbeya mjini kwenye maghorofa akakubali kuja kule kwetu Ngonga kwenye mashamba ya Mpunga, Kakao na Migomba ? Jibu ni tunguli lilikuwa na nguvu Sana.Ah Ngonga pale nishafika hamna kitu,, nikukaribishe Matema au ukishindwa pale unaweza ukasogea kidogo ukapanda kwenye ile milima ya Livingstone ukatambike vizuri..
Fanya kurudia tena aisee.Ulichelewa kuiona nikafuta.
Yeah inasemekana watu wenye lips nzuri ni good kissersinasemakana lakini
Aanze mazoezi...
Jf jogging club