Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,867
- 15,825
Aiseee.....
Aiseee.....
Natamani kuweka mkono hapo, hapo!! Nimekuja wakati muafaka!!
Mpaka afike shingo inamuuma kwa kutizama nje
Hahahah ndio...wachezaji wakubwa aliona wanazingua. Bora achukue wadogo maana si wasumbufu mara nyingi halafu akishawakuza anakuja kuwapiga Bei kubwaArsenal haina wachezaji wakubwa?? Kumbe jamaa alikuwa anang'ang'ania kukuza vipaji vyake mwenyewe??
Babe umenzidi mie eti[emoji7][emoji7]Like yo Babe [emoji8][emoji8][emoji8]
Afu wasalimie ndugu zangu wale...jioni nakuja
Mwambie unawashwa mgongon akukune kama hajakimbia kabisaaa
Mpendwa huu uzi inatakiwa uwe online masaa 24, jana niliweka nyingi mno Soma comments za jana.Wewe picha yako tunaisubiri unaruka ruka kila siku.[emoji3][emoji3]
Natamani kuweka mkono hapo, hapo!! Nimekuja wakati muafaka!!
Fanya tu maajabu tu, hushindwi bwana!!Hahahah hahaha sijui kama na picha kwa simu jamani
Mpendwa huu uzi inatakiwa uwe online masaa 24, jana niliweka nyingi mno Soma comments za jana.
Yup, ila huko nyanda za juu kusini hakuna vegetation kama hiyo inayoonekana karibu na makazi...
Hahaa umeonaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaa halafu wewe nimegundua kwenye huu uzi upo sana tu ila unasuburia picha ikiwekwa ndiyo unaibuka huko uchochoroni ulikojificha unakuja kutudanganya kuwa umekuja wakati muafaka
Hahahah hahahahaAtakufa[emoji1783]
[emoji23][emoji23][emoji23] Karma bwana! Sipo uchochoroni, nipo mtaa wa Samora jiji la salama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaa halafu wewe nimegundua kwenye huu uzi upo sana tu ila unasuburia picha ikiwekwa ndiyo unaibuka huko uchochoroni ulikojificha unakuja kutudanganya kuwa umekuja wakati muafaka
Ulichelewa kuiona nikafuta.Ndo umenilipa hivyo ?
Usizuge tuwekee picha moja 😁😁😁[emoji3][emoji3] wewe kaongo kaongo sana jana kutwa nipo humu sijaona picha yako.
Yaani wewe janja janja nyingi.
Weka picha embu.
Hahahah ndio...wachezaji wakubwa aliona wanazingua. Bora achukue wadogo maana si wasumbufu mara nyingi halafu akishawakuza anakuja kuwapiga Bei kubwa
[emoji85][emoji85]sijawahi kukudanganya kaka
Nipo shem, habari?Upo....