Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa kwani Diamond ni nani?? Yule naye si kaaga kule Tanganyika akaona tunguli zake zimematch na za Nyasa ndiyo maana akakubali
Ukitaka kujua nguvu ya tunguli za Ngonga we jiulize ilikuwaje msanii wenu Diamond Platinumz alishindwaje kwenda kufanya show Mbeya mjini kwenye maghorofa akakubali kuja kule kwetu Ngonga kwenye mashamba ya Mpunga, Kakao na Migomba ? Jibu ni tunguli lilikuwa na nguvu Sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa kwani Diamond ni nani?? Yula naye si kaaga kule Tanganyika akaona tunguli zake zimematch na za Nyasa ndiyo maana akakubali
Za Tanganyika zilizidiwa nguvu. Alipokuja kule kwetu tukamuongezea salio si unaosa nyota yake inayozidi kung'aa maradufu.
 
Back
Top Bottom