Huo mguu hapo pembeni ni wa nani?[emoji41]
Marahabaaa tena.
Huo mguu hapo pembeni ni wa nani?[emoji41]
Marahabaaa tena.
Naona watu bado wana selfika balaaa ,uzi unakimbia huu
Mimi hata nikiona unywele tu nitaridhikaNgoja nipige picha nywele...au hutaki?[emoji23]
Na wewe haukuiona?
Hata simjui babe
Naona anatanua tu miguu sijui ana busha
Ushimen bana
Sasa huyo skeleton vipi?[emoji3][emoji3][emoji3]
Dah kumbe walishakuwahi wajanja wa humu ,naona MTU kaitwa babeHata simjui babe
Naona anatanua tu miguu sijui ana busha
Tazama vizuri miti yote (achana na hiyo mbeya mnaita mijacaranda, wengine mijohoro, wengine mikrisimasi)
Aisee
Jana niliweka uwongo dhambi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji4] hapo ni pa kutembeleaHahaha ukoo wetu watoto wa kike ni wengi kuliko wa kiume hivyo nina madada nina wadogo wa kike na nina mabinamu wa kike wa kutosha tu
Halafu kati ya wote hao hakuna aliyefikisha hata miaka 30 wala hakuna aliyeolewa japo wapo ambao tayari wana watoto na wapo ambao wameshachumbiwa tunasubiri kula pilau tu (nazungumzia wale ndugu wa karibu kabisa hasa upande wa mama)
Acha wivuHuo mguu hapo pembeni ni wa nani?[emoji41]
Dah kumbe walishakuwahi wajanja wa humu ,naona MTU kaitwa babe
Wanaselfika wapi bhana...?
Utafikiri tunauza viatu...kila ukipiga jicho ni viatu tuu [emoji26]
Niliweka kamguu kabaya na raba za kishamba.Kwa vile sikuona siwezi kusema uliweka,, hivi hata ningembiwa nitoe ushahidi kuwa uliweka unadhani ningekuwa nao??