wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,390
- 29,038
Ahaa.. basi pole sana
Unfortunately sina dada ni midime tu
Unfortunately sina dada ni midime tu
Marahaba na wewe.[emoji16][emoji16][emoji16]
Unaulamba msimu wa Graduation au umekumbukia siku yako [emoji3]
Mwaliko 😋😋😋Yeap na mie nipo kwa msimu wa graduu dada
Mwaliko [emoji39][emoji39][emoji39]
MarahabaaMarahaba na wewe.
Marahaba na wewe.
Hahaha, dah!Ndio tena kadogo changu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jizeeshe, kaone vile
Tusiokuwa na saa na mapensi tunacomment wapi sasa
Hiyo skeleton inanipa raha sana tangu juzi ujuwe....Ushimen bana
Sasa huyo skeleton vipi?[emoji3][emoji3][emoji3]
Hii kitu inanipa furaha sana vile inasakata rhumba...teh[emoji28][emoji28][emoji28]Halafu kuna mtu humu kaiweka hii kama avatar nikaichukuaga,, huwa naipenda..
Mnaweka hapa hapa commnet zenu
Ngoja niisave hii picha kwa matumizi flani mixer na soap....[emoji28][emoji28]
Hii kitu inanipa furaha sana vile inasakata rhumba...teh[emoji28][emoji28][emoji28]
Nimeitika mkuu, huyo ni mimi...[emoji28][emoji28]Msalimie unayesafiri nae hapo jirani nmeona kadeti hahahah
Kitambi ni direct proportional na pesa...na ni inverse proportional na maguvu yetu[emoji1787][emoji1787]haswaa