Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,484
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]babu atakua anasumbua
[emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]babu atakua anasumbua
Acha wivu
Hata mimi tokea nipo mdogo wadada walikua wanasifia lips zanguMmhh huu utafiti wako umefanyia wapi eti?? Huyo kaka kweli ana lips nzuri ila aliyemuambia kuwa ana mdomo kama wa dada yake siyo mimi ni wa stendi huyo
Hahaha nmeiba View attachment 1265791
Ndio ni ke,tena ke haswaaa[emoji15][emoji15]hivi huyo Thad ni ke??
[emoji4] hapo ni pa kutembelea
[emoji849][emoji849][emoji849]
Niliweka kamguu kabaya na raba za kishamba.
Hata mimi tokea nipo mdogo wadada walikua wanasifia lips zangu
Hata girlfriend wangu wa sasa alisema one of the reasons amenitongoza ni lips zangu
Dah kumbe ushafuta.Ulichelewa kuiona nikafuta.
Ndio ni ke,tena ke haswaaa
Tujionee na sisi.Hata mimi tokea nipo mdogo wadada walikua wanasifia lips zangu
Hata girlfriend wangu wa sasa alisema one of the reasons amenitongoza ni lips zangu
KwemaHahaha mbona watu wengi tu wameuliza mamiii?? Kwema lakin
Hilo bus seat zipo karibu sana mimi siwez kupanda labda nikae kiupande upande[emoji23][emoji23]
Utaekea miguu juu ya mapaja yangu
Kwema
Wewe umeuliza kwa hasira za kichaga[emoji16][emoji16]
Daaa pangekua nakapazia hapo mnakashusha au sio[emoji23][emoji23]