Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Msalimie unayesafiri nae hapo jirani nmeona kadeti hahahah
Hahahhaaa anaangalia dirishan anaogopa nipo Uch
Msalimie unayesafiri nae hapo jirani nmeona kadeti hahahah
Asee,we binti unajua kunitega dah
Karibu Ngonga. Tatizo lako litaisha tu.Oohh mie nimeaga Matema kule ila bado tunguli zimenibamba vizuri tu,, naona kuna haja ya ku update matambiko yangu..
Hahahhaaa anaangalia dirishan anaogopa nipo Uch
zamu yako Dada mzuri
Tunakumbushana chat na picha.
Hahahhaaa anaangalia dirishan anaogopa nipo Uch
Natamani kuweka mkono hapo, hapo!! Nimekuja wakati muafaka!!
Nakukumbuka Sumbai chat na picha.Www. It begin with you. Com
@Clkey fanya maajabu basiHahaha mwambie ahame kama vp badala afaidishe macho anaona aibu
Umeona eenh,, hata safu za Usangu na Rungwe ziko kama hivo..

Nakukumbuka Sumbai chat na picha.
Jamaaaa anateseka saaana.
Hahaha mwambie ahame kama vp badala afaidishe macho anaona aibu
Si km hivyo , we acha tuHow jamani?
@Clkey fanya maajabu basi
Karibu Ngonga. Tatizo lako litaisha tu.