Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Asante sumbai 😘😘Mguuu mzuri saana huo [emoji3590]
Asante sumbai 😘😘Mguuu mzuri saana huo [emoji3590]
We jamaa mimi ni mke wa nani?acha wenge basi WigeUsitamani mtu mke
Maana utakuwa umezini
Selfika 20:10
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
NalipwAaa pwaaVipindi vyote hivyo unaangalia unalipwa?
Uje chap SASA.....Mkuu hapo ni Kifuru?
ItakuwaLabda kwasababu mie sio mpenzi sana 🙈
Baki hapaaa na mimiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muwe na wakati mwema na weekend njema wapendwa
Antonnia was here!![emoji3577][emoji3577][emoji3577]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usitufokee puliiiiiizzzzzzDecember is for Vacay
Mliobaki makwenu nauza baruti kwa bei nafuuuView attachment 2463616
Sio vya kimasai dear hivi?Wanaselfika hamjambo jaman …naombeni msaada yeyote mwenye kujua hivi viatu vya kutoka Kenya wapi naweza kuvipata nitashukuru.nilijaribu mara nyingi kuvitafuta kwenye duka nililonunulia sikufanikiwa kuvipata kama hivi..ninapata vyenye kipira katikati[emoji18]nilikwenda duka fulani Moshi stand ya Arusha Kwa pembeni lakini pia sikupata[emoji18].mwenye anajua duka linakopatikana kindly link me up jamani.vinakuwaga na chapa juu yakisigino
View attachment 2463644
Mremboooo, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]#flashbackView attachment 2463680
Ungeniambia mapema ningekuja chap dogo, mie mda huu na usingizi wangu debe hata siwezi.Uje chap SASA.....
Mtu mkeWe jamaa mimi ni mke wa nani?acha wenge basi Wige
We jamaa unakuwaga mnaa sana 😂😂Mtu mke
Na sio mke wa mtu
Hata hivyo kwani mmeachana na Lee
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Si useme tu upo na sophy27Ungeniambia mapema ningekuja chap dogo, mie mda huu na usingizi wangu debe hata siwezi.
Tulia huko na Huba zakoWe jamaa unakuwaga mnaa sana [emoji23][emoji23]
Wewe na National mtafanya dada wa watu abadili ID, au jamaa yake amgombe huko. Hamjui watu wana wivu nyie eeh!Si useme tu upo na sophy27
[emoji1787][emoji1732][emoji125]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Utundu tena?😳😳Lizzy cha utundu Ujambo