Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Asante sumbai 😘😘Mguuu mzuri saana huo![]()
Asante sumbai 😘😘Mguuu mzuri saana huo![]()
Onyesha mfano...siuachie uso huo jamani☹️
☺️☺️Mimi nimeimiss tu hii keki yakoView attachment 2463685
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
TumeongeaHahaa Momo analea saivi usimsumbue
Me saa 3 niko free
Kama una shida utasema upigiwe
ok ngoja nitakuonesha mfano😘Onyesha mfano...
Niache bwanaHahahaa
Ukitumiss utajileta mwenyewe
WasalimieNiache bwana
Huba imeanza kuimba wimbo
Huwezi amini huwa naiangalia sana hii picha.
Alafu hata haikuwa nzuri![]()

Duh kifuru hii hii dar itabidi nitafute mda nizunguke aiseERoni njooo hukuView attachment 2463698
Sawa sawa kabisa#flashbackView attachment 2463680
Huba imeishaHahahaa
Ukitumiss utajileta mwenyewe
anakupea mahabati mtoto sophy27 naona namna mnafurahaHahaha, mkuu anafanyaje sophy? Umemuandama sana binti wa watu..
Labda kwasababu mie sio mpenzi sana 🙈Huwezi amini huwa naiangalia sana hii picha.
Huo mchambuko wa keki
Lazima tu ilikuwa nzuri.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mkuu hapo ni Kifuru?ERoni njooo hukuView attachment 2463698
Vipindi vyote hivyo unaangalia unalipwa?Huba imeisha
Busy na jua kali now
Chapati harage la nazi