Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Kumbe una wivuWewe na National mtafanya dada wa watu abadili ID, au jamaa yake amgombe huko. Hamjui watu wana wivu nyie eeh!

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Kumbe una wivuWewe na National mtafanya dada wa watu abadili ID, au jamaa yake amgombe huko. Hamjui watu wana wivu nyie eeh!

mbona analala na kifunika maziwa
😂😂😂 jamaa yake si ndio wewe, au uongo sophy27Wewe na National mtafanya dada wa watu abadili ID, au jamaa yake amgombe huko. Hamjui watu wana wivu nyie eeh!
Yes my dear ni vya kimasai
Jamaa angu ukiwa unaropoka make sure unauhakika 💯.unaropokaga sana.Mtu mke
Na sio mke wa mtu
Hata hivyo kwani mmeachana na Lee
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ni vizuri kw afya 🤓mbona analala na kifunika maziwa
unalala peke yako tu alafu huogopi😒😒😒
makosa ya kifundi, nikiwa refa nakupa kadi ya njano 😀😀😀Ni vizuri kw afya 🤓
Jamaa yangu gani Tena na wew mbona hivo 😂Wewe na National mtafanya dada wa watu abadili ID, au jamaa yake amgombe huko. Hamjui watu wana wivu nyie eeh!
😂😂😂
mwakani mwezi wa ngapi unajifungua ka uncle 😀😀😀😀😂😂😂Mwaka na uishe uje mpya labda aunt yangu ataacha ukuwadi
Silali peke yangu bana....nalala na panga.unalala peke yako tu alafu huogopi😒😒😒
ebu nilione panga 😒😒😒Silali peke yangu bana....nalala na panga.
😂😂mwakani mwezi wa ngapi unajifungua ka uncle 😀😀😀😀
Inafaa kuchezea karata ♠️♥️♦️♣️??makosa ya kifundi, nikiwa refa nakupa kadi ya njano 😀😀😀
Limepumzika 🤓ebu nilione panga 😒😒😒
ewaaa anaeshindwa ile last card, anaanza solve ma equation 😀😀😀Inafaa kuchezea karata ♠️♥️♦️♣️??