Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaselfika hamjambo jaman …naombeni msaada yeyote mwenye kujua hivi viatu vya kutoka Kenya wapi naweza kuvipata nitashukuru.nilijaribu mara nyingi kuvitafuta kwenye duka nililonunulia sikufanikiwa kuvipata kama hivi..ninapata vyenye kipira katikati😌nilikwenda duka fulani Moshi stand ya Arusha Kwa pembeni lakini pia sikupata😌.mwenye anajua duka linakopatikana kindly link me up jamani.vinakuwaga na chapa juu yakisigino
0C3EBA5E-ACFD-4EB6-B1F1-3BBE92804026.jpeg
 
Wanaselfika hamjambo jaman …naombeni msaada yeyote mwenye kujua hivi viatu vya kutoka Kenya wapi naweza kuvipata nitashukuru.nilijaribu mara nyingi kuvitafuta kwenye duka nililonunulia sikufanikiwa kuvipata kama hivi..ninapata vyenye kipira katikatinilikwenda duka fulani Moshi stand ya Arusha Kwa pembeni lakini pia sikupata.mwenye anajua duka linakopatikana kindly link me up jamani.vinakuwaga na chapa juu yakisigino
View attachment 2463644
Mguuu mzuri saana huo
 
Af hapa niangalie Kina adi saa 3 ndio nitakua available🤣🤣

Usilie bana, kula pipi wakati huu unanisubiria
Pipi imebaki 1
Naitunza

Na mm saa 2 niko busy na Huba
Mpk nimalize yalaiti saa 4 na nusu.

Kwendraaaa
Ngoja nimpigie momo
 
Pipi imebaki 1
Naitunza

Na mm saa 2 niko busy na Huba
Mpk nimalize yalaiti saa 4 na nusu.

Kwendraaaa
Ngoja nimpigie momo
Hahaa Momo analea saivi usimsumbue

Me saa 3 niko free
Kama una shida utasema upigiwe
 
Back
Top Bottom