ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,458
- 119,079
Basi mimi huwa nachukua maneno ya mwanzo kabisa..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli trena ni utani wa vipaji 😁!
Basi mimi huwa nachukua maneno ya mwanzo kabisa..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli trena ni utani wa vipaji 😁!
Dogo unefanywaje tena, hili yowe nimelisikia huku Mbopo.Oh My God
Nishatupiaaa saana. Wewe app badoWee Sumbai Nawe Tubless mkuu Hivi ushatupia Humu??
Hahahaaa!! Pesa ndio mchawi😁😁😁😁😁!!🤗🤗🤗🤗👋👋👋👋👋!!Basi mimi huwa nachukua maneno ya mwanzo kabisa..
Heeee sijawahi iona fanya kuibles jioni yangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Nishatupiaaa saana. Wewe app bado
Nimeona lishangazi moja Kali sana.Dogo unefanywaje tena, hili yowe nimelisikia huku Mbopo.
Hahaha ngoja nitafute pozi Kali saana.Heeee sijawahi iona fanya kuibles jioni yangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Hehe unaenda wapi sasa nataka nitupie kitruuMuwe na wakati mwema na weekend njema wapendwa
Antonnia was here!!![]()
Sema suuuuNdio maana tukataka tuhakikishe
Maana uwizi umezidi sana sikuhizi🤣🤣
Haya fanya kuiandaaa utaniblesss badae saii naingia kwenye majukumu mengine mkuu!! Badae ntakudaiHahaha ngoja nitafute pozi Kali saana.
Hee why?A man can marry a girl simply because of her dimples
Kanipa baba 🥰What a dimple![]()
Haya basi tupia saii sijatoka online!!! nakuaminia mkuu haunaga mbambambaa so huwezi niangusha!!Hehe unaenda wapi sasa nataka nitupie kitruu
Mkuu, mimi nimezeeka, hapa nasafisha macho ila kama unahitaji mimi kama Eroni nitakunyooshea kidole tu1🤣🤣🤣🤣Nimeona lishangazi moja Kali sana.
Hatuitani huku kabisaa braza.
Hio Kazi muachie Anne au Putin wataifanya kwa ufasaha zaidi 😂😂😂!!Mkuu, mimi nimezeeka, hapa nasafisha macho ila kama unahitaji mimi kama Eroni nitakunyooshea kidole tu1🤣🤣🤣🤣
HahahaaaHata mimi naweza kuunganisha vizuri tu, anachotakiwa ni kuweka kambi hapa, hakika hawezi toka kapa, mkuu wangu sumbai endelea kuweka kambi humu.
Siku hizi ni unalalaaaaSema suuuu
Afu ujue nilisinzia 🤣
Sema kuna simu ikaniamsha