cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,064
Mambo mengi nn sasa, wee mpost nimuonee muitaliano wanguu.Wewe mambo mengi sana!
Hutaki nkaishi Rome wee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengi nn sasa, wee mpost nimuonee muitaliano wanguu.Wewe mambo mengi sana!
Lete picha yako akuone!Mambo mengi nn sasa, wee mpost nimuonee muitaliano wanguu.
Hutaki nkaishi Rome wee.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848]Sema kwel Shem kwahyo uliolewa ukaachika
Babu yako' na nani?Basi ssaaaauuuwaaaa babuu ila angalia jioni hii shambani pekeako sio salama bibi watoto ndugu na wajukuu zako bado twakuhitaji sana babu furahia kilimo chema na uwe na Jioni njema babu etu![emoji3577]
Huku moyoni unafurahiaUnanigombanisha na sophy[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CocaWacha weee unataka nifatwe pm [emoji23][emoji23][emoji23]
Unaingiaga na gia Kali sanaKwahiyo unakubaliana na Wigelekelo sio?[emoji2957]
Ngoja niombe Cheti changu Cha kuzaliwa kwa Malikia Elizabeth niwaoneshe hapa [emoji2957]
2025[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weka tuone kumbe umezaliwa 2001 unatudanganya babu wa mchongo [emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Yani Yuko live anasuuza roho
Ungejibu swaliSi umuulize Yolly Yolly wako Chizi wewe!!
Unamjua?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Watu wanahangaika kupigana anaepigwa mzigo na kula mema ya nchi katuliaaaa anawazoom tyu!![emoji16]
Mambo ndio kama hivyoNikuje kukuonyesha.?
Ndio maana unasutwa[emoji1787]
Hiil lugha umeanza lini kuinena?Is
Not
Was
[emoji19]
Hakuna limbwata pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ktk watu wanajua mambwata Kajalaa nimemnyooshea mikono, tatizo halijielewi lile, lingekua mbali maskinuii.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee sema kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa atajua yeye, si kasema nim kiss?? Ko ananipima mie?Ndio maana unasutwa[emoji1787]
Yolly yolly yupo humu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee eti nn??