cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,287
Hebu nipe no zake za tsup, tupigiane tsup video call.Lete picha yako akuone!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nipe no zake za tsup, tupigiane tsup video call.Lete picha yako akuone!

Nilivyo na sura ya migogoro ya
Nilivyo na sura ya migogoro ya
Wafugaji na wakulima
Mnaanzaje kunigombania
Li Mjep ni hasara eti
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app

Mjep wangu huyu mie hata situmii nguvu nyingi wala simgombaniii ila yeye ndo amenasa kwangu, vipi nimfukuze au?? Mjep wangu huyu mie hata situmii nguvu nyingi wala simgombaniii ila yeye ndo amenasa kwangu, vipi nimfukuze au??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.................karibu tulime Mkuu 🤪
Mwache Mjukuu wangu ajifunze kulima, sio nimwachie urithi wa mashamba alafu ashindwe kuyatunza 🤪Mzee wa mchongo kivuruge
Mvuvi uliyekubuhu
Unamlimisha kwa ruhusa ya nani?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ingawa hiyo ni reflector, kwenye orodha ya protective gear wanazotaka wenzetu wa OSHA kwaajili ya usalama mahali pa kazi.
Ukifa anauzaMwache Mjukuu wangu ajifunze kulima, sio nimwachie urithi wa mashamba alafu ashindwe kuyatunza![]()
Hapana simjui! 😎
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!😂😂😂😂😂😂Ila madam
AMINAISAYA 64:9
Ee Bwana, usione hasira nyingi, wala usiukumbuke uovu siku zote; tazama, angalia, twakusihi, sisi sote tu watu wako.
HILO NDILO NENO LA MUNGU
Aamen![]()
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Selfikaaaaaahhh...... Mahusiano, Mapenzi na kuwekana!!😁!
Samaleko sweemadame!!✋
Na kwako pia madamMorning selfika!!
Muwe na Siku njema wapendwa!!!!
Waambieee afu ongezaa sauti wasikieeee mume wangu.Ukinifukuza nakufaaaaaaa

Ingawa hiyo ni reflector, kwenye orodha ya protective gear wanazotaka wenzetu wa OSHA kwaajili ya usalama mahali pa kazi.

kwa kweli. Tumshukuru MunguISAYA 64:9
Ee Bwana, usione hasira nyingi, wala usiukumbuke uovu siku zote; tazama, angalia, twakusihi, sisi sote tu watu wako.
HILO NDILO NENO LA MUNGU
Aamen![]()