Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Tumebaki na Messi tuš
Tumebaki na Messi tuš
š¤£š¤£š¤£š¤£Natolea wapi Dada ako...Nani asiyetaka kajala 1&2 na mipesa kedee mjini hapa!!embu fanya 23 niianze vyema miešš[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada usinambie hunaaa?? Em ukujee nikupeee bhanaaaa, wee hutakii kuhongwaa pesa ndefuu eti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzio nimevurugwaaa na kingereza chenyewee cha mkopooo bas tafrani tupuuu.Is
Not
Was
[emoji19]
Kweli kabisa, 82yrs si mchezo!In his early 80ās ni parefu sana. Apate pumziko la milele.
Endelea kuwapuuza kipenzi..kukaa kimya nalo jibu..usiwape Kiki manina haoNshapuuza ila bado nafuatwaaa, sijui wanataka nn.
Maskini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ktk watu wanajua mambwata Kajalaa nimemnyooshea mikono, tatizo halijielewi lile, lingekua mbali maskinuii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Natolea wapi Dada ako...Nani asiyetaka kajala 1&2 na mipesa kedee mjini hapa!!embu fanya 23 niianze vyema mie[emoji23][emoji23]
Sahiv natuliaaaa kmyaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kuwapuuza kipenzi..kukaa kimya nalo jibu..usiwape Kiki manina hao
Weeeee..niambie komaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ktk watu wanajua mambwata Kajalaa nimemnyooshea mikono, tatizo halijielewi lile, lingekua mbali maskinuii.
Sent using Jamii Forums mobile app
hakina naona furaha yakupendwa na Bwana ERoni mwaka wako shangazišš
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shem em ulale sasa.Waoo asante shem toka nizaliwe leo ndyo nimepewa kiss na mzungu [mention]cocastic [/mention]
Usiku mwema [mention]cocastic [/mention] ulale vizur ukiamka upate mimba ya [mention]Ntiluseswa [/mention] nyie wengine mtajua wenyewe kwanza muachike tu
Pouzii matata, msalimie muitaliano wangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji482]View attachment 2462782
Zimefika šPouzii matata, msalimie muitaliano wangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
WachaaNkamu mimi sihusiki kabisa hapa[emoji1787]
Nadhani litakua lisukuma limoja linaitwa Wigelekelo ndo linalogombaniwa hapa[emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah.
Wewe mambo mengi sana!
Mzee wa mchongo kivurugeNdiyo maana huwa namwambia Bibi yenu awe anawaita hata Wakati wa Palizi tu, mnaishi Mjini hadi mnasahau Jembe [emoji2957]
Usijali nitakuelekeza kulima, Palizi pamoja na Kuvuna [emoji847]